This is a forward I got the other day and thought it’s a creative way of expressing the admiration that Kenyans have for their favourite beer…
Tusker Milele
Baba yetu
Uliye brewer
Beer zako zitufikie,niitakayo unipatie
Bei yake iwe hapa kwa bar kama huko AFCO
utupe chupa zetu Za kila siku
Utusamehe sisi walevi
Kama tunavyosamehe wasiolewa
Tusijenge keja mbali na bar, iwe karibu na butchery
Kwa kuwa beer zote ni zako
Na wines hata spirits,
Milele,Milele na Tusker
Amen
No comments:
Post a Comment